Elimu ya Ufundi

Elimu ya Ufundi ni mafunzo yatolewayo kwa mwanafunzi kwa lengo la kumpatia ujuzi, maarifa na stadi maalum katika fani fulani ili kumuwezesha kufanyakazi katika taaluma hiyo (Act No. 9, 1997). Elimu ya ufundi inahusu fani zote ikiwa ni pamoja na ufugaji, ukulima, uvuvi, usafirishaji, uhandisi, uganga, uuguzi, uhasibu, ununuzi/ugavi, ukutubi, uandishi wa habari, usanii n.k.

NACTE Twitter!

Upcoming Events

    Web Stats

    Number of Visitors today: 5 Total visits: 10037 Most viewed post: Approved list of student for academic year 2011/2012 for Technical Institutions Visitors on line: 0 Your IP: 38.107.179.241

    Contact Us

    The National Council for Technical Education,
    Plot No. 719/1/4, Mikocheni Industrial Area,
    P.O. Box 7109,
    Dar es salaam · TANZANIA.

    Phone: +255 (22) 278-0077, 278-0312
    Fax: +255 (22) 278-0060

    Email: info@nacte.go.tz