Lugha : English   Swahili      Staff Mail
       
 
 
     
 
UTAMBUZI WA WAHITIMU WENYE TUZ0 ZA DIPLOMA ZISIZO ZA BARAZA
Author : NACTE
Wednesday, Jul 4, 2012 12:00 AM

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTAMBUZI WA WAHITIMU WENYE TUZ0 ZA DIPLOMA ZISIZO ZA BARAZA (NON-NTA)

Kutokana na sababu za kiufundi zilizo nje ya uwezo wa Baraza, Katibu Mtendaji anapenda kuwataarifu kwamba huduma ya kuwawezesha wahitimu wa Diploma zisizo za Mfumo wa Tuzo za NTA (Non-NTA Diploma Awards) kudahiliwa kupitia mfumo wa pamoja (Central Admission System) imesitishwa.

Hivyo wale wote waliotuma maombi ya utambuzi wa tuzo zao na wakapewa namba za utambuzi (AR numbers) na NACTE lakini wameshindwa kuomba udahili kupitia mfumo wa CAS hadi kufikia tarehe ya mwisho (4/7/2012) wanaarifiwa kwamba kutakuwa na nafasi nyingine ya udahili kwa mfumo huo mwezi Agosti 2012. Hata hivyo wale ambao watashindwa kujiunga na ni miongoni mwa walioorodheshwa hapo chini wanaombwa radhi na watatakiwa warudishe namba hizo NACTE ili waweze kurudishiwa fedha zao (recognition fee). Wadahiliwa hao watatakiwa kuja na risiti zao. Zoezi la kuwarudishia watu fedha litaanza 1/9/2012 na kumalizika 30/9/2012.

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi




POLLS

For the second time Diploma graduates will be applying through CAS. What can be improved? amateur porn

Developed By : YOUFLYCopyright © 2013. NACTE. All rights reserved