Maombi ya Uhamisho wa Wanafunzi Wanaoendelea


UTANGULIZI


Tafadhali soma kwa umakini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho.

Masharti na Sifa kwa Waombaji

Taarifa kwa Waombaji
  • Mwanafunzi anashauriwa kuhakiki na kufahamu taarifa za msingi za chuo anachotaka kuhamia kama vile, mahali chuo kilipo, hali ya hewa, ada na michango mingine. Kwa taarifa zaidi angalia kitabu cha muongozo wa udahili (Admission Guidebook) kupitia www.nacte.go.tz
  • Uhamisho unawahusu wanafunzi waliopo katika mwaka wa masomo 2021/2022 kwa "March Intake" na 2020/2021 kwa "September Intake " ili kuhakiki upo katika mwaka husika bofya Hapa
  • Mwanafunzi ataruhusiwa kuhama chuo kimoja kwenda kingine chenye kozi inayofanana
  • Mwanafunzi ambaye hajafaulu au kuwa na mtihani wa marudio hausiki na uhamisho huu
  • Uhamisho utakubalika pale tu chuo anachotoka na anachotaka kuhamia viwe vimedhiridhia
Malipo

  • Gharama za mchakato wa uhamisho ni Tsh 10,000/=, Malipo yaliyofanyika hayatarudishwa.

  • Kuendelea na mchakato wa maombi, tafadhali bofya hapa Endelea


Hatua 1: Ingiza taarifa zako